RUDI NYUMA EPISODI YA 06
ENDELEA MBELE EPISODI YA 08
“hapana , siwezi kuingia kwenye hilo tundu , kwanza hata
siwezi kutosha.”
Aliongea shadrack huku akiliangalia sink la choo.
“dirishani wewe mjinga , nani kasema unaingia kwenye tundu
la choo?”
Aliongea anie huku akimuanganalia shadrack usoni .
“ooh, sawa, sijui kwa nini sikufikiria hilo.”
Aliongea shadrack na
kushusha pumzi mara baada ya kuliona dirisha hilo,dogo lililokuwa juu kabisa ya
choo hicho.
Anie alipanda kwenye sink na kisha kukivuta chuma
kilichokuwa kina zuia dirisha hilo kama vile
kimechomelewa , kumbe yeye alishatoa kile kilichochomelewa na kuegesha
cha kwake kinachofanana na kile, hiyo ilikuwa njia yake ya usiku akitaka kutoka
zake kwenda viwanja ambavyo mama yake alimkataza kwenda.
“haraka, sitaki waingie humu na kukuta , nataka mlango wangu
wa siri ubaki kuwa siri.”
Aliongea anie na shadrack haraka alipanda juu ya sinki hilo
na kurukia kwa nje .
“kwa heri , nitakupigia.”
Aliongea anie.
“lakini huna namba yangu.”
“Najua mahali pa kuipata .”
Aliongea kauli hiyo ambayo ilimshangaza shadrack, lakini
hakuwa na muda wa kushangaa zaidi kwa
muda huo kitu pelkee alichokuwa anatakiwa kufanya ni kutimua mbio kabla mama
mwenye nyumba na mfanya kazi wake hawajajua kwamba tayari amesha toka humo.
Jambo zuri ni kwamba alikuwa ameshalipwa mapema , kwa hiyo
hakuwa na lolote la kuhofia kulipoteza kutoka kwao, labda mashtaka tu kwa
supervisor wake na huwa mara nyingi
anaishia kumsema tu sababu kazi za nje huwa hazihusinai na zile za ofisini japo wateja hawalitambui hilo.
****
Alipotoka mitaa hiyo ya ushuani shadrack alipitiliza moja
kwa moja mtaani kwao , japo bado iikuwa mapema. ilikuwa sio kawaida yake kurudi
uswazi mida hiyo, mara nyingi alikuwa anarudi usiku hata kama mjini hana kazi
kelele za uswazi pamoja na joto kali vyote hivyo vilikuwa vitu ambavyo alikuwa
anataka kuvikwepa, ni heri azuge zuge
tu mjini na kupigwa na kiyoyozi cha
ofisini , akipiga stori na washkaji pamoja na kuleta shobo kwa wateja ili
angalau apate tipu, na kweli alikuwa anazigonga hela zao , vikazi viogo vidogo
zilivyojitokeza hapo kila mtu alikuwa kimuita yeye.
Aliposhuka kwenye dala dala alianza kuikata mitaa ya huko
uswazi kwao, vumbi lilikuwa linatimuliwa na boda boda pamoja na bajaji
zilizokuwa zikakatisha kwa fujo. maduka yaliyokuwa pembezoni mwa bara bara hiyo
nayo yalikuwa yakipiga muziki kwa fujo, hapa utasikia mnanda pale mchiriku,
mara taarabu na rozi muhando humo humo
na wimbo wake wa nibebe.
Shadrack alipita pembeni ya bara bara hiyo kuzikwepa piki
piki ambazo nazo zilikuwa zikipiga muziki kwa fujo kwa kweli ilikuwa balaa.
“Ndio maana nakuchukia kitaa , vurugu tupu bora tu ningetulia zangu ushuani , kudadeki
walai.”
Alilaani shadrack na kuamua kuchepukia kwenye kichochoro ili kukwepa kero hizo , na
huko nako ndio kama vile alikuwa anaruka majivu na kukanyaga moto.
Mtaa huu alikuta bonge la ugomvi kati ya wake wenza, chanzo
kilikuwa mume wao, alidanganya amesafiri kwenda mkoani kikazi, kumbe bi.mdogo
amemfungia ndani na sasa bi.mkubwa kafanya uchunguzi wake na kuwafuma
wakibebana kama watoto kupelekana bafuni kuoga.
“kumamako leo nasema mtanitambua wasenge nyie , nimewaruhusu kuona, mkafanya
animuni na ushenzi mwingine wote lakini
mnaona haitoshi mpaka mnanidhurumu zamu zangu , mnataka mimi nikatombwe wapi
kumamae zenu, eeeh nikatombwe wapi nauliza?”
Alipiga kelele bi.mkumbwa, mwanaume pamoja na bi.mdogo
hawakuonyesha kujali wala nini.
“si jitie vidole hii, kwani lazima mboo.”
Aliongea bi.mdogo kwa
jeuri na hapo hapo bi.mkubwa alimvaa na kukukuruka nae kwenye uwanja wa nyumba
hiyo, wapambe pembeni walishangilia ile
kinazi.
Shadrack alipitiliza zake na kuacha ujinga huo uendelee na kukatisha kichochoro kingine huko sasa
ndio ailibidi azibe pua, ilikuwa harufu mbaya ya mkonjo, wa walevi mixa kinyesi , aliruka ruka kukwepa na
hatimaye akaibukia kwenye kirabu cha pombe za kienyeji na hapo alikuta walevi wakipiga mitungi huku
wakicheza muziki kwa zunguka duara, wanawake japo walikuwa wamama watu wazima
lakini vituko walivyokuwa wanavifanya hapo ilikuwa hatari tupu.
Kuna waliojifunua funua khanga zao na kuacha matako yao wazi ili wale walevi wa kiume wayashike shike na kuyaminya
watakavyo , walikuwa wakiyatikisa matako hayo kwa staili ya kuyabenua benua
hivi na kugonga gonga mapaja ya wanaume
waliokuwa wakicheza nyuma yao wakiwa wamejibana kwa ziro distensi, mboo zao
zilizokuwa zimedinda ile kisenghe zilikuwa zikijigonga gonga kwenye matako hayo
kwa vurugu kinoma, muziki uliwanogea walinyanyua mikono juu na kushagilia .
ENDELEA MBELE EPISODI YA 08
No comments:
Post a Comment